Aliyejiua Kisa Mapenzi, Huyu Ndiye Mwanamke Aliyesababisha

by: Global TV Online     Published on: 23 January 2017

Views: 175,216

319    123   

Fast Download

Description :

Ama kweli Mapenzi hushinda hatima, unaweza ukabeza pale yanapomtokea mwenzako ikiwa bado hayajakufika lakini ukweli utadhihirika pale yatakapokufika ndipo imani yako itaoenekana. waweza penda kwa dhati kabisa lakini mwisho wa siku ukaambulia machozi na waweza kuwa hauwelewekieleweki lakini mwisho wa siku ukajikuta unajutia hali hiyo kwa kusababisha madhara kwa akupendaye. haya yametokea huko tanga Jamaa kajinyonga baada ya kusalitiwa na aliyempenda akamuamini kwa dhati kuwa ndiye wa maisha lakini mwisho wa siku alijikuta akivuna mauti. ingawa watu wengi huamua kuwanyanganya vitu wapenzi wao pale wanapowafumania, na hata wengine huwadhuru waliowafumania lakini jamaa hakuona vyema kumuhukumu mtu asiye na makosa hivyo akaamua kujihukumu mwenyewe.#MAHABA NIUWE #MAPENZI MOTO MOTOBy Kasmir Mseleche /GTv online