#DeepStory:USTAA UNAVYOPONZA,MAISHA YA NISHER,CHIMBUKO LA WANENE ENTERTAINMENT (NA GENTRIEZ)

by: WAZO TV     Published on: 13 March 2019

Views: 795

15    0   

Description :

Ukiwa star kuna story nyingi nyuma yake.Ni maisha yanayoweza kuponza kukufanya ujione bora zaidi.Gentries ameishi na mastaa wengi tangu kitambo na hapa ana simulizi kibao na story ambazo ni vigumu kukutana nazo kirahisi...