Codedwap

Enzi Zao: John Nzenze

by: Kenya CitizenTV     Published on: 08 August 2012

Views: 66,264

196    10   

Description :

Anajulikana kwa kibao chake kwa angelike kilichovuma miaka ya sitini na sabini. Anasemekana kuwa mojawapo ya wanamuziki waliofanya mtindo wa kucheza wa twisti kutia fora. Kabla ya kujitosa kwenye muziki, aliwahi kuwa mpiga gitaa katika nyimbo za merehemu Daudi Kabaka. Mwanahabari wetu Franklin Macharia anamwangazia John Amutabi Nzenze , katika makala ya enzi zao.