Codedwap

Filamu ya siri ya moyo

by: BONGO News TV     Published on: 29 November 2016

Views: 9,181

38    3   

Description :

Tayari filamu ya mpya ya ‘Siri ya Moyo’ kutoka kwa mtayarishaji mahiri wa filamu Swahilihood, Salum Saleh ‘Man Fizo’ ambayo imesha kamilika na kilichobakia sasa ni uzinduzi rasmi utakaofanyika siku ya Desemba Mosi katika ukumbi wa sinema wa Cineplex cinema Quality Centre uliopo barabara ya Mwalimu Nyerere zamani Pugu Road.