Codedwap

KUFURU: Alichokifanya Amber Lulu Hadharani Balaa!

by: Global TV Online     Published on: 16 June 2018

Views: 3,651,031

5,939    2,589   

Description :

KUFURU: Alichokifanya Amber Lulu Hadharani Balaa!Tamasha la Sport & Music Festival limezinduliwa kwa shangwe mkoani Geita na steji ikavamiwa na wasanii wakali wa Bongo Fleva akiwemo mwanadada Amber Lulu, ambaye aliponea chupuchupu kuvunja amri ya sita na shabiki baada ya kumuita stejini na kufanya vitendo vinavyoashiria ngono.Baada ya Geita tamasha hilo litahamia mkoani Mwanza na kumalizikia Kahama ambapo wasanii mbalimbali wa Bongo Feva na singeli watafanya makamuzi ya kufa mtu. Install GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli..