Lugha Mseto - Part 2 (Bongo Movie)

by: Swahiliwood     Published on: 29 September 2014

Views: 146,200

449    83   

Description :

Lugha mseto ni filamu inayozungumzia msichana mrembo anayeitwa Rukia. Ni mtoto aliyezaliwa hapa hapa Tanzania, awesoma hapahapa kuanzia darasa la kwanza hadi kidata cha 6, alibahatika kusafiri kwenda uingereza alikaa kwa muda wa wiki moja tu kisha akarudi hapa nchini Tanzania, kitu cha kushangaza baada ya kurudi hajui tena Kiswahili, je jambo hili linawezakana? Ndani ya Lugha Mseto yapo yaliyojili.Whatever Production Presents: Lugha Mseto - Part 2Bongo Filamu | Swahili/KiswahiliSUBSCRIBE: http://goo.gl/cR0mA