Mama Wa Marehemu MBALAMWEZI Asimulia Mwanae Alivyoondoka Nyumbani

by: Global TV Online     Published on: 16 August 2019

Views: 184,597

870    121   

Fast Download

Description :

Mama Wa Marehemu MBALAMWEZI Asimulia Mwanae Alivyoondoka NyumbaniTANZIA: Taarifa zilizotufikia ni kwamba mmoja wa wasanii wa Bongo Fleva wanaounda Kundi la The Mafik, aitwaye ‘Mbalamwezi‘ amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, Ijumaa, Agosti 15 2019.Taarifa za kifo hicho zimethibitishwa na msanii mwenzake wa kundi hilo aitwaye Hamadai, lakini chanzo cha kifo chake bado hakijajulikana. Mwili wa marehemu Mbalamwezi umehifadhiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), jijini Dar es Salaam.Global TV imefika msibani nyumbani kwa marehemu na kuzungumza na Mama yake mlezi ambaye amesimulia kile anachokijua kuhusiana na kifo cha mwanae huyo.#RIPMBALAMWEZIhttps://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho