MPAKA HOME: Patrick Kanumba Afungukia Penzi Lake na Jennifer Kanumba

by: Global TV Online     Published on: 19 December 2017

Views: 606,595

3,325    689   

Description :

Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 STAA kijana aliyetambulishwa rasmi kwenye ulimwengu wa filamu za Kibongo na aliyekuwa nguli wa tasnia hiyo, marehemu Steven Kanumba, Othman Yusuf ‘Patrick wa Kanumba’ amefunguka juu ya uvumi unaoenea ukidai yuko kwenye penzi zito na muigizaji mwenzake, Hannifa Daud ‘Jennifer wa Kanumba’ ambapo amekanusha vikali madai hayo.Katika mazungumzo maalum na kipindi kinachojipatia umaarufu na kuvuna mashabiki kila kukicha cha Mpaka Home baada ya kuibukiwa nyumbani kwao usiku mnene, Patrick alikiri kusikia uvumi huo kupitia watu mbalimbali ambapo alisema yeye na Jennifer ni kama ndugu kwani hata familia zao zina uhusiano mzuri hivyo hawezi kufanya kitu cha ‘kijinga’ namna hiyo.Twende pamoja umsikie Patrick alivyofunguka.FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli..