Mwalimu Masemele - Part 1 (Bongo Movie)

by: Swahiliwood     Published on: 05 July 2018

Views: 289,232

1,322    197   

Description :

Mwalimu Masemele - Masemele Kaka yeke Philipo (Mau Fundi) amefariki dunia mala tu baada ya kupangiawa nafasi ya kazi kama mwalimu. Mau fundi anaona hiyo ni fulsa nzuri ya yeye kwenda kwenye shure husika na kujitambulisha kama mwalimu Masemele japo hana Taaluma ya Ualimu. Mambo yanakua magumu kiasi cha kukimbia na kurudi shule kusaoma.Bofya link hii kuangalia Part 1 :https://www.youtube.com/watch?v=MlBaFVTDpxMHenry Mwakajumba Intertainment presents: Mwalimu Masemele Part 1Subscribe: http://goo.gl/cR0mAFacebook: www.facebook.com/swahiliwood