Mwanamuziki John De Matthew afariki kwenye ajali ya barabarani

by: Kenya CitizenTV     Published on: 19 August 2019

Views: 14,230

41    3   

Fast Download

Description :

Mashabiki wa miziki ya kikuyu wanaomboleza kifo cha mwanamuziki John De Mathew aliyeaga dunia kufuatia ajali ya barabarani. De Mathew alifariki baada ya gari lake kupata ajali jana usiku. Makori Ongechi anaarifu zaidi kuhusu mwanamuziki huyu aliyevutia sifa licha ya baadhi kutaja nyimbo zake kuwa zenye kueneza chuki.