"Naongea kiingereza kupita maelezo ila niliongea Kiswahili Nigeria makusudi" -NANDY

by: Millard Ayo     Published on: 17 November 2017

Views: 173,340

850    78   

Description :

Mwimbaji wa Bongofleva Nandy amezungumzia Safari yake ya Nigeria, kushinda Tuzo na kuhusu kuzungumza Kiswahili kwenye mahojiano ambayo maswali yake aliulizwa kwa Kiingereza.