UJENZI WA UZIO KATIKA MAKABURI YA KOLLA WALIPOZIKWA MAREHEMU WA AJALI YA MOTO MOROGORO BADO KUANZA

by: MCL Digital     Published on: 19 August 2019

Views: 459

2    0   

Fast Download

Description :

Kaimu katibu Tawala mkoa wa Morogoro Noel Kazimoto amesema suala la Ujenzi wa uzio na mnara katika makaburi ya Kolla walikozikwa marehemu wa ajali ya moto bado linaendelea kujadiliwa.