Codedwap

UWANJA WA DHAMBI Movie A

by: Swahili tv     Published on: 11 June 2017

Views: 120,609

360    109   

Description :

Uwanja wa dhambi ni sinema inayozungumzia maisha ya kichawi ya Mama Shubiri, anayowafanyia ndugu wa mumewe pamoja na majirani zake. Mtoto wa mumewe anayeitwa Maimuna anamuumbua kwa kuwatoa mandondocha anaowafuga ndani ya nyumba yake. Imetungwa, imetayarishwa na kuandikwa script na HAJI DILUNGA, wahusika wakuu ni ANNA MICHAEL amecheza kama ROSE kwa sasa ni marehemu, ZAINABU MBAVUMBILI amecheza kama MAMA LULU kwa sasa ni marehemu, MWAJUMA ABDUL amecheza kama MAIMUNA kwa sasa ni marehemu. FIDELS PETER amecheza kama MZEE KASHATA, AISHA CHANZI amecheza kama MAMA SHUBIRI na STELLA BALTAZARY amecheza kama SHUBIRI. MUNGU AWALAZE MAHALA PEMA PEPONI, WOTE WALIOTANGULIA MBELE YA HAKI.